Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sasa wanaume wanaolelewa wanaitwa Viserengeti,ndo maana nikasema kwa kupenda huko miteremko na kulelewa mwishowe wataitwa vimikumi badala ya viserengeti
Viserengeti sio ni wanaume tu bali hata wanawake pia, viserengeti ni neno la msimu linalo toa maana dogo dogo siunajuwa dogo dogo huwa hawakupi presha, ila kumbuka you are against law, ukibambwa unawekwa kizuizini
 
Kizuizini utawekwa kama huyo Serengeti ni under 18
 
Back
Top Bottom