Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Kwani ni lazima kwenda?..wangapi hamtoenda kwani??
Kwani ni lazima kwenda?..wangapi hamtoenda kwani??
Kwenda? Wapi?Kwani ni lazima kwenda?
Kwenda sio lazima ni hiari, kwanini unapenda shuruti wewe???Kwani ni lazima kwenda?
Kwani wewe ni HB ilala nzima?..wangapi hamtoenda kwani??
Jambazi kumjua si mpaka uambiwe... ukimtazama tu unamjuaWewe nani amekuambia Mimi jambazi
Jambazi la juzi pale bank?Wewe nani amekuambia Mimi jambazi
Wewe mbona unapenda kuuliza sana?Kwenda sio lazima ni hiari, kwanini unapenda shuruti wewe???
Unamjua kwa dalili zakeJambazi kumjua si mpaka uambiwe... ukimtazama tu unamjua
Jambazi bank robbery siku hizi wanawake wanapora bank, hali ya uchumi imebadilika sana tunaomba mheshimiwa apunguze kukazaWewe nani amekuambia Mimi jambazi
Sana sana wewe ni kituko kuliko wengineWewe mbona unapenda kuuliza sana?
Wengine ndio tunaamka baada ya kukeshaSana sana wewe ni kituko kuliko wengine
kukesha kwenye sherehe au ibada?Wengine ndio tunaamka baada ya kukesha
Wengine unamaanisha zaidi yako?Sana sana wewe ni kituko kuliko wengine
Zaid yako hakuna mwingine ni ww tiWengine unamaanisha zaidi yako?
Kukesha ni kipaji, jana watu walitupisha ulingo, vipi umeshapata card yako ya mwaliko, uje umevaa uninja hivyo hivyoWengine ndio tunaamka baada ya kukesha
Yako akili ni kituko sana, unajuwa majina huwa ufanana na tabia na akili zetuWengine unamaanisha zaidi yako?
Hivyo unionavyo ndivyo nilivyoKukesha ni kipaji, jana watu walitupisha ulingo, vipi umeshapata card yako ya mwaliko, uje umevaa uninja hivyo hivyo
Ti ni neno gumu sana kuanza nalo sentensiZaid yako hakuna mwingine ni ww ti
zetu dua, labda mabadiriko yatapatikanaYako akili ni kituko sana, unajuwa majina huwa ufanana na tabia na akili zetu