mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Mchezo umeisha Kila mmoja alaleHapa si mchezo
Mchezo umeisha Kila mmoja alaleHapa si mchezo
Inbox yangu naogopaPicha ungenitumia japo Kwa inbox
Inbox yangu naogopaPicha ungenitumia japo Kwa inbox
Naogopa kutoka nje usikuInbox yangu naogopa
Kabisa imetumika sanaUsiku kwetu hakutishi kabisa
Kikikupenda kina haribu ndoaviserengeti vina raha yake hasa kikikupenda.
Ndoa ina raha yakeKikikupenda kina haribu ndoa
Ndoa zinaharibiwa siku hizi heshima kama zamani haipoKikikupenda kina haribu ndoa
Sana yaaniKabisa imetumika sana
Tanga kuna majina mazuri mfano, muheza, kange, saruji, pangani, maramba, mwera, ushongo na mabokweniMwana n Moja kati ya majina mengi Na wengi huyafupisha kuna mwanakombo mwanahawa Mwanaally mwanahija Mwanamvua mwanamkuu majina haya hupatikana haswaaa huku tanga
Yaani sitaki kuamini hutaki kushindwaSana yaani
Haipo wapi hiyo heshimaNdoa zinaharibiwa siku hizi heshima kama zamani haipo
Wewe mtoto unazahamaMwana wa aaani wewe
Kushindwa ukikubali sio mshindaniYaani sitaki kuamini hutaki kushindwa
Mabokweni Na ulikokutaja kooote nimeshafika unaonekana u mwenyeji weweTanga kuna majina mazuri mfano, muheza, kange, saruji, pangani, maramba, mwera, ushongo na mabokweni
Kiakili mkifanana tu mtaingia kwenye msuguano usio na mwishoBwana we nakwambia havina Raha Bora upate mtakaoendana kitabia Na kiakili
Heshima haipo Kwa sababu walikuwamo ndoani hawajiheshimHaipo wapi hiyo heshima
Wew utakua mtu wa tanga haya nambie kwenu wapiMabokweni Na ulikokutaja kooote nimeshafika unaonekana u mwenyeji wewe
Wapi kivipi maana nimechanganyiaWew utakua mtu wa tanga haya nambie kwenu wapi