Kabisa Na comments za watu hunifanya nacheka peke yanguJf haichoshi kabisa
Waungwana wakivuliwa nguo hawasimami huchutamakujifunza kusema niwatakie usiku mwema na njozi njema si vibaya kwa waungwana.
Yangu nguo naipenda mnooKabisa Na comments za watu hunifanya nacheka peke yangu
Jf nimekutana na beautiful people kama sakayo, toxic, nsereko, gbefa, ukhuty na mamaafacebookMkuu ni jina linalopendwa sana jf
Mwana n Moja kati ya majina mengi Na wengi huyafupisha kuna mwanakombo mwanahawa Mwanaally mwanahija Mwanamvua mwanamkuu majina haya hupatikana haswaaa huku tangaWazitakani we mwana
Mmechoka au bado, kwa maana natembea na spidi ya mwendokasiWaungwana mmechoka
We we hulaliMwana wa aaani wewe
Peke yangu nimeona ila sikutaka kumshtua mtu nikaunguza pichaKabisa Na comments za watu hunifanya nacheka peke yangu
Kujisitiri n lazima Kwa mwanamkeHuchutama ili kujistiri
Mnoo ikizidi huchukizaYangu nguo naipenda mnoo
Mwanamke staraKujisitiri n lazima Kwa mwanamke
Mamaafacebook amekutana Na wengiii tokea amejiunga Na jf Na wengne wamekua n kama ndugu kwakeJf nimekutana na beautiful people kama sakayo, toxic, nsereko, gbefa, ukhuty na mamaafacebook
Bwana Na Bibi wamepita hapaTanga raha bwana
Picha ungenitumia japo Kwa inboxPeke yangu nimeona ila sikutaka kumshtua mtu nikaunguza picha