ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Mma lugha ya watoto hiyoMaji kwa kichaga ni mma
Mma lugha ya watoto hiyoMaji kwa kichaga ni mma
Kidogo tu unipeAdimu kwenu kwetu inanyesha kidogo
upembuzi yakinifu umekula pesa nyingi kuliko mradi wenyewe.Wawekezaji ni wengi kwenye nyapu, mimi bado sijawekeza bado nafanya upembuzi yakinifu ..
Mkuu nikifikia huko nitatumia halafu nikupe mrejeshokuzisifia au kuzipamba lakini ni nzuri mkuu.
Hiyo inamaanisha majiMma lugha ya watoto hiyo
Kodi tulipe jamni tujenge taifa letuWawekezaji wanasema wapunguziwe kodi
Unipe nini tenaKidogo tu unipe
viserengeti vina raha yake hasa kikikupenda.Mkuu unapenda viserengeti
Kidogo sio sawa na kukosa kabisaAdimu kwenu kwetu inanyesha kidogo
Kikikupenda kina Raha ganiviserengeti vina raha yake hasa kikikupenda.
Kikikupenda full kukupiga mizinga sivipendi mieviserengeti vina raha yake hasa kikikupenda.
tena ukipewa usikatae.Unipe nini tena
Sijaizoom sana ila nimeona mambo ya carot hayo, ramani ya bara la afrikaRamani ya wapi unasemea sijaizoom
Kabisa Ina maana ganiKidogo sio sawa na kukosa kabisa
Gani zaidi ya kupeana pressure tu bwanaKikikupenda kina Raha gani
Africa kuna vivutio vingi vya wataliiSijaizoom sana ila nimeona mambo ya carot hayo, ramani ya bara la afrika
bara la africa ni la pili kwa ukubwa.Sijaizoom sana ila nimeona mambo ya carot hayo, ramani ya bara la afrika
Vizuri nimepata namna ya kumpata pitia ramaniramani hiyo itakufikisha mpaka kwao ukifuatilia vizuri.
Bwana we nakwambia havina Raha Bora upate mtakaoendana kitabia Na kiakiliGani zaidi ya kupeana pressure tu bwana