Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mbona sijakionaKitu kilikuwepo mbona
Mbona sijakionaKitu kilikuwepo mbona
Mtn ni ya kenya eti???Vocha gani unataka tigo au mtn
Eti n ya south Africa hiyoMtn ni ya kenya eti???
Kimya kitakuwepo baada ya muda mfupiAmani wakuu msiogope piteni kimya kimya
Mdogo mdogo ya diamondZamani nilikuwa mdogo
sijakiona kwa macho lakini nimekipenda.Mbona sijakiona
Mkuu umebadilisha avatarKaribu kwangu mkuu
Avatar ishakuchanganyaMkuu umebadilisha avatar
Leo game litakuwa lakufa mtuBado sijaenda kwao mpaka leo
Enzi hizo tunaangalia TV kwenye kulipia bandaZamani sana enzi hizo
Muda mfupi wa kwanza nitakuwa mimiKimya kitakuwepo baada ya muda mfupi
Nimekipenda maana kina rangi nzurisijakiona kwa macho lakini nimekipenda.
Mende tena, wewe utakuwa sio msafi, mende ni rafiki wa uchafuJikoni kwangu kuna mende
mimi mwenyewe naenda kulala.Muda mfupi wa kwanza nitakuwa mimi
Banda lenyewe la mbao auu batiEnzi hizo tunaangalia TV kwenye kulipia banda
Ishamchanganya nani tena
Tena hiyo avatar siilewiIshamchanganya nani tena
Hasara ni pale umewekeza kwa mchepuko ukisubiri returnhasira hasara.