mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Banda lenyewe mnajazana vitotoEnzi hizo tunaangalia TV kwenye kulipia banda
Banda lenyewe mnajazana vitotoEnzi hizo tunaangalia TV kwenye kulipia banda
Tena ni toxic9 ndio imemdatishaIshamchanganya nani tena
bati za aluminium afrika ni imara.Banda lenyewe la mbao auu bati
Mimi ndo nitafuata maana sio kwa kusinzia hukuMuda mfupi wa kwanza nitakuwa mimi
return kwa investment ndiyo inafanya watu wawe wawekezaji.Hasara ni pale umewekeza kwa mchepuko ukisubiri return
Imara mie sijui maana sijawahi zitumiabati za aluminium afrika ni imara.
Hiyo line ya mtn nasikiaga ukinunua vocha mara moja tu basi unatwanga tu bure na msg bure ila ndani ya nchi za EACEti n ya south Africa hiyo
Eac sio kweli mbonaHiyo line ya mtn nasikiaga ukinunua vocha mara moja tu basi unatwanga tu bure na msg bure ila ndani ya nchi za EAC
Vitoto kibao, miaka ya 70..umri unakwenda sana mkuuBanda lenyewe mnajazana vitoto
sijawahi zitumia ila nimeona kwa watumiaji.Imara mie sijui maana sijawahi zitumia
Huku unachat weka miguu kwenye ndoo ya majiMimi ndo nitafuata maana sio kwa kusinzia huku
Ishakuchanganya pia hizo ina kama mimi ilivyonidatisha mkuu? maana naona ina imepita kama ramaniAvatar ishakuchanganya
Wawekezaji wanasema wapunguziwe kodireturn kwa investment ndiyo inafanya watu wawe wawekezaji.
maji baridi au maji moto?Huku unachat weka miguu kwenye ndoo ya maji
Ishamchanganya mamaafacebook hata wewe babutena ni toxic9 ishamchanganya.
Ramani ya nchi ganiIshakuchanganya pia hizo ina kama mimi ilivyonidatisha mkuu? maana naona ina imepita kama ramani
Ramani ya wapi unasemea sijaizoomIshakuchanganya pia hizo ina kama mimi ilivyonidatisha mkuu? maana naona ina imepita kama ramani