ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Mgeni njoo mwenyej aponeMamaafacebook II leo tumemkaribisha kwenye uzi wa wamwisho ndo mshindi, tumefurahi sana kupata mgeni
Mgeni njoo mwenyej aponeMamaafacebook II leo tumemkaribisha kwenye uzi wa wamwisho ndo mshindi, tumefurahi sana kupata mgeni
inaitwaje? sindimba ya kimakonde.Ngoma yenu ya Ntwara inaitwaje
Jei Jei anko alikuwa mtangazaji wa radiochollo nduguye ami jei.
Jei jei okochachollo nduguye ami jei.
Kusinzia saa hizi jamaniBado kidogo nianze kusinzia
Moja ikiongezeka kwenye saba utapata naneSab jumlisha moja
Okocha ndo nini tenaJei jei okocha
Inaitwaje zaidi ya ngoma za kimakonde, kwa n'jomba nchumali ndo kwetu. KaribuNgoma yenu ya Ntwara inaitwaje
Nanenepa sababu ya kulaMoja ikiongezeka kwenye saba utapata nane
Mgeni mnanikaribisha Na maneno matupu hamna hata waliMamaafacebook II leo tumemkaribisha kwenye uzi wa wamwisho ndo mshindi, tumefurahi sana kupata mgeni
Bado sijaenda kwao mpaka leoMapema kwetu bado
Karibu kwangu mkuuInaitwaje zaidi ya ngoma za kimakonde, kwa n'jomba nchumali ndo kwetu. Karibu
Karibu pia tanga tuicheze baikoko msimu huu wa siku kuuInaitwaje zaidi ya ngoma za kimakonde, kwa n'jomba nchumali ndo kwetu. Karibu
Tena nahisi alikua goal kipa sikumbuki team yakeOkocha ndo nini tena
LEO uko wapi kwaniBado sijaenda kwao mpaka leo
Kitu kimeiva mwanangu, si unasikia kinavyonukia jikoniInaitwaje hiyo kitu
Tena hata mie sijaelewaOkocha ndo nini tena
Kula vyooooote Ila iwe a well balanced dietNanenepa sababu ya kula
Nane ukiondoa mojaMoja ikiongezeka kwenye saba utapata nane