mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Zimesisha au zimeisha mamaVocha zimesisha
Zimesisha au zimeisha mamaVocha zimesisha
Sokwe Ana sura mbayaKwao walimtafuta sana lakini amejificha kwa sokwe
Mgozi ngumu kama ya ng'ombe tunawamba ngomaMamba ana ngozi ngumu
Chollo ana duka kwaniMpemba yupi makame au chollo
Sokwe akamlinda akawapa vipigo vizito mwisho akamtoa mtotoKwao walimtafuta sana lakini amejificha kwa sokwe
ngumu kuliko ngozi ya goti?Mamba ana ngozi ngumu
Mpemba leo amefunga duka mapemavocha zinapatikana dukani kwa mpemba.
Mama weee mambo ya smatphone hayoZimesisha au zimeisha mama
chollo nduguye ami jei.Mpemba yupi makame au chollo
Mapema kwetu badoMpemba leo amefunga duka mapema
Ngoma yenu ya Ntwara inaitwajeMgozi ngumu kama ya ng'ombe tunawamba ngoma
Kwani hujui analo Kwa pembeni ya mtaaa wa sabaChollo ana duka kwani
Sab jumlisha mojaKwani hujui analo Kwa pembeni ya mtaaa wa saba
Ngoma ya darasa imehit kuliko kokoroMgozi ngumu kama ya ng'ombe tunawamba ngoma
Bado kidogo nianze kusinziaMapema kwetu bado
Mamaafacebook II leo tumemkaribisha kwenye uzi wa wamwisho ndo mshindi, tumefurahi sana kupata mgeniunanizingua wewe mamaafacebook ii.
mapema kabla ya mvua kuanza tma wametoa angalizo kwa waishio mabondeni.Mpemba leo amefunga duka mapema
Hayo makubwa yanajua kutuaibishaMama weee mambo ya smatphone hayo