mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Upweke nimeshauzoeaNyumbani peke yako huogopi upweke
Upweke nimeshauzoeaNyumbani peke yako huogopi upweke
Baby day out ni muvie iliyobamba sana miaka ya 90's ya yule mtotoout au baby's day out?
Mtoto alijua kuwahangisha waliomwiba kwaoBaby day out ni muvie iliyobamba sana miaka ya 90's ya yule mtoto
huduma bora zitarajiwe kipindi hiki kwenye ofisi za umma.Hospitali za umma zinajitaji kuboresha huduma
Yasiyowezekana kama yapiTabia zetu nzuri zimebadilishwa na tamaa za wanawake..... Wanatufanya tufanye yasiyo wezekana
Kwao ilikuwa ni wapiMtoto alijua kuwahangisha waliomwiba kwao
Zoea vyote lakini usizoee uongo uongo utamu koleaUpweke nimeshauzoea
unanizingua wewe mamaafacebook ii.We we bwana unaniambia kweli au unanizingua
Wapi ntapata vochaKwao ilikuwa ni wapi
mtoto ambaye leo amekuwa teja.Baby day out ni muvie iliyobamba sana miaka ya 90's ya yule mtoto
Ngozi yangu inatosha kujigamba, sio simba sio chui sio mambatabia ni kama ngozi.
Kolea ikakolea mwishowe inakuajeZoea vyote lakini usizoee uongo uongo utamu kolea
mamaafacebook II nipo hapa nambie unachotaka kusikiaunanizingua wewe mamaafacebook ii.
vocha zinapatikana dukani kwa mpemba.Wapi ntapata vocha
Mamba ana ngozi ngumuNgozi yangu inatosha kujigamba, sio simba sio chui sio mamba
Kwao walimtafuta sana lakini amejificha kwa sokweMtoto alijua kuwahangisha waliomwiba kwao
Mpemba yupi makame au chollovocha zinapatikana dukani kwa mpemba.