zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
anaboronga kwa ajili ya kuchanganya na siasa za maji takaLakini anafika mahali anaboronga
anaboronga kwa ajili ya kuchanganya na siasa za maji takaLakini anafika mahali anaboronga
Taka taka tupa kule, hapa lete maakulati na vinywaji....!!anaboronga kwa ajili ya kuchanganya na siasa za maji taka
Vinywaji visiwe vya moto sana au baridi sana.Taka taka tupa kule, hapa lete maakulati na vinywaji....!!
Adimu kama mvua jangwani.Sana yaani nimekuwa adimu
sana sana vya baridi ukiwa na mechi unapata burudaniVinywaji visiwe vya moto sana au baridi sana.
Adimu ya nguom za kustiri imewacha wengi kutembea uchi....😛Sana yaani nimekuwa adimu
Jangwani kuna ng'e weupe wenye sumu......Adimu kama mvua jangwani.
sumu ni mke wa mtu tuJangwani kuna ng'e weupe wenye sumu......
Unabisha sana mpaka unabishana na redioMke wa mtu tu!? Ahahaha hiyo hakuna gheto kuna maziwa uliza waliokuwa wanaishi kama malaika sasa hivi wanaishi kama mashetani sumu ni mh. Fulani au unabisha!?
Redio free Africa yafungiwaUnabisha sana mpaka unabishana na redio
Yafungiwa kwa muda gani?Redio free Africa yafungiwa
Muda gani kwa kweli sijui hata mimiYafungiwa kwa muda gani?
gani inaua wengi.wengi wanajilipua nayo kwa ajili ya mapenziYafungiwa kwa muda gani?
Mimi nimejichanganya ukaniwahiMuda gani kwa kweli sijui hata mimi
Niwahi fasta fasta nakupa dakika 5 nakusubiri nipo hapa stendi ya ubungoMimi nimejichanganya ukaniwahi
ubungo bus terminal imeharibiwa miundombinu yake sababu ya mradi wa mabasi ya mwendokasi.Niwahi fasta fasta nakupa dakika 5 nakusubiri nipo hapa stendi ya ubungo
ubungo mataa Leo foleni hakuna.nakuwah fasterNiwahi fasta fasta nakupa dakika 5 nakusubiri nipo hapa stendi ya ubungo