zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
ndogo kwa mtukufu raisi sio nzuriKubwa kama nyumba au ndogo kama kibanda? Isitoshe bado haitasaidia bila kujali ni kubwa au ndogo
ndogo kwa mtukufu raisi sio nzuriKubwa kama nyumba au ndogo kama kibanda? Isitoshe bado haitasaidia bila kujali ni kubwa au ndogo
mtaani pesa imeadimika lakini maisha yanaendelea.nafuu hakuna ela hakuna mtaani
Yaleyale tu hakuna jipya chini ya juaYaendelea yaleyale
Jua ndio tochi, bila jua hakuna mwangaYaleyale tu hakuna jipya chini ya jua
ukame uko maeneo ya katikati ya tanzania.mwanga maeneo ya moshi kuna ukame
Tanzania ya viwandaukame uko maeneo ya katikati ya tanzania.
viwanda tutarajie vingi awamu hii.kama tujichange tufungue chetuTanzania ya viwanda
Viwanda bila raw materials wapi na wapi, raw materials bila wakulima wapi na wapi, kilimo bila ruzuku ya serikali wapi na wapiTanzania ya viwanda
Wapi na wapi tunaanzia sasaViwanda bila raw materials wapi na wapi, raw materials bila wakulima wapi na wapi, kilimo bila ruzuku ya serikali wapi na wapi
sasa vita imetangazwa jamani...........mnaikumbuka hii nyimbo enzi ya rtd?Wapi na wapi tunaanzia sasa
Rtd ya redio Tanzania amasasa vita imetangazwa jamani...........mnaikumbuka hii nyimbo enzi ya rtd?
radio tanzania dar es salaam ama rtd kama ilivyovuma kwa kifupi zama hizo.Rtd ya redio Tanzania ama
Ama kweli Tanzania haiishi maajabu,Rtd ya redio Tanzania ama
Maajabu ya musa ukiyashangaa utayaona ya mwengineAma kweli Tanzania haiishi maajabu,
mwingine asiyekuwa mwanasiasa kushinda urais kama bw. trump ni yule rais mteule wa gambia.Maajabu ya musa ukiyashangaa utayaona ya mwengine
Gambia mji mkuu wake ni banjulmwingine asiyekuwa mwanasiasa kushinda urais kama bw. trump ni yule rais mteule wa gambia.
banjul hakukaliki kwa rais asiyetaka kuachia madaraka.Gambia mji mkuu wake ni banjul
Madaraka ni mzigo mzito kwa kiongozi borabanjul hakukaliki kwa rais asiyetaka kuachia madaraka.