..kiingereza ndo lugha ya dunia mkuunyingine ni rugha za kigeni kam vile kingereza!!
Mkuu habarini za asubuhi..kiingereza ndo lugha ya dunia mkuu
Asubuhi tumeamka salama, vipi na wewe uko poaMkuu habarini za asubuhi
Poa tu cjui ww hukoAsubuhi tumeamka salama, vipi na wewe uko poa
Huko walipo ndugu na jamaa wapo freshPoa tu cjui ww huko
Kwema tu pande hizi, vipi pande zako mkuuHuko kutakua kwema tuu
Mkuu mie niko sawa, hofu kwenuKwema tu pande hizi, vipi pande zako mkuu
Wapi zaidi ya shambaniFresh ya shamba walipotelea wapi...?
Shambani hukuna mavuno sababu ya ndege na nguruweWapi zaidi ya shambani
"Mtu ni utu na siyo kitu".... Usemi huu kabisa umenimaliza ...hii nyumba humvutia kila mtu
umenimaliza kwako mimi hoi kama mtoto anavyopenda toy, this goes out the one and only one."Mtu ni utu na siyo kitu".... Usemi huu kabisa umenimaliza ...
One love nyimbo ya bob marley mkali wa regeumenimaliza kwako mimi hoi kama mtoto anavyopenda toy, this goes out the one and only one.
reggae in church reggae in jail everybody likes.............the late luck dube.One love nyimbo ya bob marley mkali wa rege