minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,948
Ngozi yako kama ina matatizo usitegemee kuwa itapona kwa maji ya bahari kumuona dr na kufanya vipimo ni muhimuKuogelea baharini kuna faida kubwa hasa kwa kusafisha nyota, kuimarisha meno na magonjwa ya ngozi