Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Shemeji hajambo, wifi anasemaje huko jamaniKupendwa umepata bahati unapendwa sana na shemeji
Shemeji hajambo, wifi anasemaje huko jamaniKupendwa umepata bahati unapendwa sana na shemeji
Kwangu mkija mje na zawadiJamani karibuni kwangu
kwangu pakavu tia mchuzi.Jamani karibuni kwangu
Mchuzi wa samaki au nyamakwangu pakavu tia mchuzi.
Nyama leo ngumu sijui haijaiva vizuri mpishiMchuzi wa samaki au nyama
Mpishi amechoka kuchochea nyama ni ngumu sana, itakuwa ya gotiNyama leo ngumu sijui haijaiva vizuri mpishi
nyama hailiki si kwa sababu za kiafya lahasha bali kwa kuisoma mkuu.Mchuzi wa samaki au nyama
goti halikukunjwa na fa na ay.Mpishi amechoka kuchochea nyama ni ngumu sana, itakuwa ya goti
FA na AY nyimbo yao kali zaidi ni ile ha ha habari ndio hiyogoti halikukunjwa na fa na ay.
ndiyo hiyo inasomeka 47=60-13.FA na AY nyimbo yao kali zaidi ni ile ha ha habari ndio hiyo
13 mpaka ukihsabu kufikia 1,000,000 sio leondiyo hiyo inasomeka 47=60-13.
13 ni namba tasandiyo hiyo inasomeka 47=60-13.
17 ni namba ya jezi aliyokuwa akiivaa hayati mark vivien foe.Tasa ni namb 17
siyo leo mpaka kufika tunakokwenda kazi tunayo.13 mpaka ukihsabu kufikia 1,000,000 sio leo
Tunayo fursa ya mwisho kushiriki mashindano ya kuogelea.....siyo leo mpaka kufika tunakokwenda kazi tunayo.
Kuogelea baharini kuna faida kubwa hasa kwa kusafisha nyota, kuimarisha meno na magonjwa ya ngoziTunayo fursa ya mwisho kushiriki mashindano ya kuogelea.....