mikoani kuna fursa nyingi ila wengi wanapenda kuishi dar.Ng'ombe ni ktk mifugo tunajivunia kufuga mikoani.....
mikoani kuna fursa nyingi ila wengi wanapenda kuishi dar.Ng'ombe ni ktk mifugo tunajivunia kufuga mikoani.....
Dar kuna joto na msongamanomikoani kuna fursa nyingi ila wengi wanapenda kuishi dar.
Msongamano huo ni wakujitakia maana wengi wanaamini kuwa "kifo cha wengi ni harusi"Dar kuna joto na msongamano
Msongamano unasababisha kero nyingi sanaDar kuna joto na msongamano
harusi ya yule mbongo na mnaijeria inanukia.Msongamano huo ni wakujitakia maana wengi wanaamini kuwa "kifo cha wengi ni harusi"
Inanukia and wanaonekana wako in deep loveharusi ya yule mbongo na mnaijeria inanukia.
Love huwa nasikiaga neno hili sana, Lakini sijajua linauzwa duka gani....!!!Inanukia and wanaonekana wako in deep love
Gani duka hilo hakuna linakuuzwa... Zaidi love ni hisia au feelingsLove huwa nasikiaga neno hili sana, Lakini sijajua linauzwa duka gani....!!!
Feelings ?!!? maana mie husoma ktk magazeti na kusikia vijana wengi wakizungumza ...Gani duka hilo hakuna linakuuzwa... Zaidi love ni hisia au feelings
Wakizungumzia koz wamezipata hizo feelings... Hahahaaa ZZ hata wewe naamini feeling unazo kwa wako wa ubaniFeelings ?!!? maana mie husoma ktk magazeti na kusikia vijana wengi wakizungumza ...
wa ubani wake fulani hata hajulikani.Wakizungumzia koz wamezipata hizo feelings... Hahahaaa ZZ hata wewe naamini feeling unazo kwa wako wa ubani
Hajulikani ubani wa aina gani nilitumia maana kuna taathira zenye madhara.....!!wa ubani wake fulani hata hajulikani.
Madhara kwenye taathira... Hiyo "taathira" ndo niniHajulikani ubani wa aina gani nilitumia maana kuna taathira zenye madhara.....!!
madhara makubwa yamewapata vijana waliojiingiza kwenye matumizi ya ngada.Hajulikani ubani wa aina gani nilitumia maana kuna taathira zenye madhara.....!!
Taathira na Athari/effect au tija la jambo fulani....Madhara kwenye taathira... Hiyo "taathira" ndo nini
jambo la kustaajabisha limetokea wapi?Taathira na Athari/effect au tija la jambo fulani....
Wapi inapatikana chakula cha kuku.....jambo la kustaajabisha limetokea wapi?
chakula cha kuku kinapatikana interchick.Wapi inapatikana chakula cha kuku.....
Interchick ipo Mbezichakula cha kuku kinapatikana interchick.
Mbezi ni wapi au mkoa upi humu nchini, jamani wengine siye ni wageni!!Interchick ipo Mbezi