Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Karafuu ni zao la biasharaVisiwani kunapatikana samaki wengi na karafuu
Karafuu ni zao la biasharaVisiwani kunapatikana samaki wengi na karafuu
karafuu ni nzuri ikiwekwa kwenye chai pamoja na iliki.Visiwani kunapatikana samaki wengi na karafuu
Iliki pamoja na mdalasinikarafuu ni nzuri ikiwekwa kwenye chai pamoja na iliki.
mdalasini nayo inatumika kama tiba lakini pia ni kiungo muhimu kwenye pilau.Iliki pamoja na mdalasini
Tamu sana kuliko birihani la kukuPilau ya kuku ni tamu sana
Kuku wa kienyeji mtamu kama nyama ya njiwa na kangaTamu sana kuliko birihani la kuku
kanga ni watamu ila wanasumbua ukiwafuga.Kuku wa kienyeji mtamu kama nyama ya njiwa na kanga
Ukiwafuga wanakuwa wakali sana kwa kuku, pia unaweza kufuga bata mzingakanga ni watamu ila wanasumbua ukiwafuga.
mzinga morogoro kuna hali ya hewa nzuri.Ukiwafuga wanakuwa wakali sana kwa kuku, pia unaweza kufuga bata mzinga
Hewa nzuri ipo maeneno ambayo kuna miti mingimzinga morogoro kuna hali ya hewa nzuri.
Mingi pingamizi juani nilisema abaki mtendaji lakini mkashoboka,hii ni namba hasiHewa nzuri ipo maeneno ambayo kuna miti mingi
kuna miti mingi lakini hakuna wajenzi.Hewa nzuri ipo maeneno ambayo kuna miti mingi
mbaya baniani ila kiatu chake dawa.Wajenzi wa siku hizi usipokuwa makini wanaiba Ile mbaya
Dawa ya kutibu ugonjwa ganimbaya baniani ila kiatu chake dawa.
ugonjwa gani ulioleta taharuki na kusababisha utumbuzi?Dawa ya kutibu ugonjwa gani
Wapi wameenda wale washindi wa ule mchezo wa mwisho ndo mshindiImepatikana wapi