Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
kusahau ni sifa kubwa ya mwanadamusio mbali lakini tuna kawaida ya kusahau.
kusahau ni sifa kubwa ya mwanadamusio mbali lakini tuna kawaida ya kusahau.
mwanaadam huyu huyu mwenye kupenda kulalamika bila kuchukua hatua.kusahau ni sifa kubwa ya mwanadamu
moyo mashine ya ben paul au?Kusahau maumivu ni ngumu haswa maumivu ya moyo
Au moyo wangu nyimbo ya diamond imeimbwa kama kwaitomoyo mashine ya ben paul au?
kwaito ya awamu hii heri niwe bubuAu moyo wangu nyimbo ya diamond imeimbwa kama kwaito
Jamani hivi mnajua bubu hasemi wala hasikiiBubu ni kirema jamani!?
Hasikii kabisa hata umpigie ngoma na kinanda.Jamani hivi mnajua bubu hasemi wala hasikii
Kipi kizuri kati ya kusuka na kunyoaKinanda gitaa kipi kizuri!?
Kunyoa kipara ndo hutapata hasara ya saloonKipi kizuri kati ya kusuka na kunyoa
Maovu ya kwenye saloon ni yapi mkuuSaloon kuna mambo mengi sana maovu
mkuu wa taasisi ya NIMR ni professor.Maovu ya kwenye saloon ni yapi mkuu
Professor huyo ametumbuliwa janamkuu wa taasisi ya NIMR ni professor.
jana katumbuliwa doctor leo kateuliwa professor.Professor huyo ametumbuliwa jana
Proffesor Lipumba bado ni Mwenyekitijana katumbuliwa doctor leo kateuliwa professor.
mwenyekiti ambaye soon atamuendorse mtu kugombea uwakilishi kule visiwani.Proffesor Lipumba bado ni Mwenyekiti
Hindi ni tamu haswa likitoka shamba Leo leo
Visiwani kunapatikana samaki wengi na karafuumwenyekiti ambaye soon atamuendorse mtu kugombea uwakilishi kule visiwani.