supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wapi zaidi ya kwenda kilingeni kwa mgangaImepatikana wapi
Wapi zaidi ya kwenda kilingeni kwa mgangaImepatikana wapi
Wapi inaweza kuwa imepatikana sifahamuImepatikana wapi
kwa mganga hakukosekani kuku.Wapi zaidi ya kwenda kilingeni kwa mganga
Watamu sana kama watapata mpishi mashuhuriKuku wa kienyeji ni watamu sana
Namuhitaji mtu mwenye pesaMashuhuri mpishi akitokea nami namuhitaji
Pesa zitoke wapi sasaNamuhitaji mtu mwenye pesa
Nusu ya unga wa dona ugali naumaliza bila wasiwasisasa ni sa kumi na nusu
kule walipo na wanachokifanya wanajua wenyewe.Wasiwasi wowote nimekupm mkuu supper market kanijibu kule
Kule siku hizi sipati notifications, sawa ninakuja mkuuWasiwasi wowote nimekupm mkuu supper market kanijibu kule
Wenyewe wapo mstarini kwenye paredi ya jionikule walipo na wanachokifanya wanajua wenyewe.
jioni inaingia lakini hujui kama kutakucha salama.Wenyewe wapo mstarini kwenye paredi ya jioni
Salama Kikwete nimemkumbuka sana kwenye vikundi mbalimbali vya kumkomboa mwanamkejioni inaingia lakini hujui kama kutakucha salama.
mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.Salama Kikwete nimemkumbuka sana kwenye vikundi mbalimbali vya kumkomboa mwanamke