supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Alama za vidole kwenye geti kwa ulinziMuongo hana alama
Alama za vidole kwenye geti kwa ulinziMuongo hana alama
alama ya washabiki wa arsenal ni uvumilivu.Muongo hana alama
Uvumilivu ukizidi utapoteza haki yako kizembealama ya washabiki wa arsenal ni uvumilivu.
ulinzi wa man city umeanza kuhojiwa na wachambuzi wa soka.Alama za vidole kwenye geti kwa ulinzi
kizembe itapotea lakini jasho la mnyonge haliendi bure.Uvumilivu ukizidi utapoteza haki yako kizembe
sungusungu wamewacharaza bakora wananchi mkoani shinyanga.Ulinzi shirikishi huusisha sungusungu
Tanzania ya magu ni Tanzania ya viwandaShinyanga ni miongoni mwa mikoa inayosifika kwa kilimo cha tumbaku Tanzania
Viwanda ni safari ndefu, miaka mi5 haitoshi kufikia malengoTanzania ya magu ni Tanzania ya viwanda
viwanda vidogo na vya kati husaidia kutoa ajira kwa walio wengi.Tanzania ya magu ni Tanzania ya viwanda
walikosa kwakuwa hawakuwa na bahatiWengi wao walikosa
bahati wanayo sema hawakuwa wale wa kamlete!walikosa kwakuwa hawakuwa na bahati
hapa jf au kwingine?Kamlete aje akipate cha moto hapa
Kwingine huku nyuma..hapa jf au kwingine?
kwingine na hapa cha moto atakiona.hapa jf au kwingine?