joseph manoy
Member
- Dec 3, 2016
- 7
- 4
Wote wanakera siwapendiiiiiiiiiiUsiku kuna kunguni na mbu
Wote wanakera siwapendiiiiiiiiiiUsiku kuna kunguni na mbu
Siwapendi mbuuWote wanakera siwapendiiiiiiiiii
Mbu ana afadhali sana kuliko kunguniSiwapendi mbuu
kunguni wakiingia kitandani huwezi kulala.Mbu ana afadhali sana kuliko kunguni
Supermarket afadhali sana na ni nadra kuona kunguni, njoo kijijini ujionee maajabu mkuu, na siku ukibeba nguo ya kijijini unahama na kunguni mjini.Kunguni anahatari kubwa has a anayepatikana kwenye magodoro ya kununua supermarket
mjini hakukaliki kipindi hiki.Supermarket afadhali sana na ni nadra kuona kunguni, njoo kijijini ujionee maajabu mkuu, na siku ukibeba nguo ya kijijini unahama na kunguni mjini.
matumizi yasiyo ya lazima yatasahaulika kwa muda.tena kipindi hiki wengi wanakunywa Pilsner ya buku JERO kubana matumizi
Darasani ni muhimu kupata somo kutoka kwa mwalimu halafu mnajisomea discussion kwenye kikundiMuda huu natoka darasani
Kikundi kinakuwa na watu kuanzia watatu, vipi hali zenu humu mmeshindajeDarasani ni muhimu kupata somo kutoka kwa mwalimu halafu mnajisomea discussion kwenye kikundi
mmeshindaje na mnaendeleaje wanajf?Kikundi kinakuwa na watu kuanzia watatu, vipi hali zenu humu mmeshindaje
WanaJF tunashukuru Mungu tuko poammeshindaje na mnaendeleaje wanajf?
tuko poa ila hatuna uhakika nini kitatokea kesho.WanaJF tunashukuru Mungu tuko poa
Kesho wana jf tukutane na mabango ya "free Maxence"tuko poa ila hatuna uhakika nini kitatokea kesho.