Pia hii ya kuchapwa izunguke au una maanisha nini?Warefu!? Hata wafupi nao ni watu pia
Nini haswa kinachokusumbua.? Hebu nieleze.Pia hii ya kuchapwa izunguke au una maanisha nini?
Nieleze mara ngapi kwamba ni pia inanisumbua?Nini haswa kinachokusumbua.? Hebu nieleze.
Twiga wa kwenye kipindi cha watoto TV ubungo kids anaimba fresh kama ndegeInanisumbua tabia ya wanawake kudai pesa kama maafisa wa benk ya twiga
Benki ya twiga?hhhhInanisumbua tabia ya wanawake kudai pesa kama maafisa wa benk ya twiga

Twiga ni moja ya nembo za taifaIvi kumbe na wewe ni mshabiki wa twiga
Mtu kwao..mvuto unategemeana na upendeleo wa mtu!
Warefu au wawe wafupi, mwisho wa siku wote ni binadamuKwao wote warefu
Vitu vingi vimepanda beiBinadamu kiumbe wa ajabu sana badala ya kupendana wanapenda vitu
Bei zinapanda tu huwezi sikia zimepunguaVitu vingi vimepanda bei
zimepungua kwa baadhi ya vitu.Bei zinapanda tu huwezi sikia zimepungua