Vitu vimepanda bei msimu huu wa sikukuuzimepungua kwa baadhi ya vitu.
Sikukuu ya x-mass nawakaribisha woteVitu vimepanda bei msimu huu wa sikukuu
sikukuu zikipita bei zitashuka tu.Vitu vimepanda bei msimu huu wa sikukuu
Tumeelemewa na kodi ya VAT kwenye miamala ya simusikukuu zikipita bei zitashuka tu.
mbovu lakini ukipeleka Kwa fundi muaminifu itapona tu.Simu yangu mbovu
Fundi mkweli ni kinyoziTu sitaki iende kwa fundi
kinyozi ndiye fundi mkweli.Fundi mkweli ni kinyozi
Kitambu ukikitafuna na mifupaKichwa cha samaki kitamu
mifupa inapendewa nini?Kitambu ukikitafuna na mifupa
Nini zaidi ilivyo mitamu si unamuona kuku wa kizungu unatafuna mpaka mifupa sababu ni milaini kwa wenye menomifupa inapendewa nini?
meno yanayotafuna mifupa yatakuwa yako ngangari kinoma.Nini zaidi ilivyo mitamu si unamuona kuku wa kizungu unatafuna mpaka mifupa sababu ni milaini kwa wenye meno
Kinoma sana hawa maafande huku mtaani kwetu wanasumbua.meno yanayotafuna mifupa yatakuwa yako ngangari kinoma.
Wanasumbua kwa sababu ya sikukuu za mwisho wa mwaka lazma watafute pesa kinguvu nguvuKinoma sana hawa maafande huku mtaani kwetu wanasumbua.