Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Tumemchoka mapema naona siku zimegandayule jamaa TUMEMCHOKA
Tumemchoka mapema naona siku zimegandayule jamaa TUMEMCHOKA
Tumemchoka kwa kauli zakeyule jamaa TUMEMCHOKA
Umri wangu umenitupa mkono kufanya mambo ya vijanaPoa kabisa mkuu, majukumu yamezidiii umri
Alifuzu sababu alikuwa na utashi,busara na uelewaJela ni chuo mandela alifuzu
Kauli zake zinamuumbuaTumemchoka kwa kauli zake
kauli zake zimekuwa za kukatisha tamaa...Tumemchoka kwa kauli zake
zinamuumbua na bado anaendeleaKauli zake zinamuumbua
Vijana hatuna jipya bora na nyie wazeeUmri wangu umenitupa mkono kufanya mambo ya vijana
Zinamuumbua yeye mwenyeweKauli zake zinamuumbua
Tamaa aliyonayo ni ya kujulikanakauli zake zimekuwa za kukatisha tamaa...
Mwenyewe wala hajali inaelekea hajitambuiZinamuumbua yeye mwenyewe
Anaendelea ili kupata sifa huku familia yake ikiendelea kuumiazinamuumbua na bado anaendelea
vijana zamani siku hizi vileoWazee katika jami ni chanzo busara na hekima kwa vijana
Vijana wenyewe wanadai ni taifa la kesho, kesho itafika liniWazee katika jami ni chanzo busara na hekima kwa vijana
Vileo ni tatizo kubwa huko rombo vizazi vinapoteavijana zamani siku hizi vileo
Vinapotea pia nguvu kazi inapunguaVileo ni tatizo kubwa huko rombo vizazi vinapotea
Vinapotea sababu wanakunywa pombe kali za kienyejiVileo ni tatizo kubwa huko rombo vizazi vinapotea