Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Pekee sio muumini wa vileoVileo vinaruhusiwa kwa watu wazima pekee
Pekee sio muumini wa vileoVileo vinaruhusiwa kwa watu wazima pekee
kienyeji enyeji tunaenda sijui mwelekeoVinapotea sababu wanakunywa pombe kali za kienyeji
Vileo ni janga hasa virobaPekee sio muumini wa vileo
viroba siku hizi vinawekea maitiVileo ni janga hasa viroba
Maiti za mto ruvu zimesikitisha wengiviroba siku hizi vinawekea maiti
wengi tumekaa kimya ila tuna ya moyoniMaiti za mto ruvu zimesikitisha wengi
Moyoni kuna mengi machungu, yupaze sauti kupunguza sumuwengi tumekaa kimya ila tuna ya moyoni
Maudhi mpaka lini tafuta kwenye furahaSumu ya penzi maudhi
Maudhi kwangu mwiko ntakubembelezaSumu ya penzi maudhi
Nakukimbia kuepusha shariNitakumbeleza uniache afande Ila tambua nikishindwa nakukimbia
Quigley ndo nini?Shari alina mwenyewe kila mtu anaweza kuanzisha hata Quigley