supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kimoja tu kinatosha kwa afyaHalisi na halisia ndio kitu hicho hicho kimoja!!
Kimoja tu kinatosha kwa afyaHalisi na halisia ndio kitu hicho hicho kimoja!!
Afya yangu furaha yanguKimoja tu kinatosha kwa afya
Furaha yangu ni kuona niliyoyapanga nimetimiza ahadiAfya yangu furaha yangu
Wandugu ni vizuri kutoahidi kama unajijua hutatekeleza ahadi na kuitimizaAhadi ni deni wandugu
Kuitimiza ndoto yangu ni malengo yanguWandugu ni vizuri kutoahidi kama unajijua hutatekeleza ahadi na kuitimiza
Malengo yangu ni mazuri na mafanikio yapo karibuKuitimiza ndoto yangu ni malengo yangu
Aibu mimi sina nikaribie chakula gani muda huukaribu tule jirani kama hauna aibu
muda huu ni wa kupata chakula toka Newala aina ya chikandangaAibu mimi sina nikaribie chakula gani muda huu
Mda huu ni wakati wa kupalilia ndoaAibu mimi sina nikaribie chakula gani muda huu
Ndoa inajengwa kwa misingi bora na uwezo wa kumridhisha mkeMda huu ni wakati wa kupalilia ndoa
Mke mwema anatoka kwa bwanaNdoa inajengwa kwa misingi bora na uwezo wa kumridhisha mke
Bwana akulaze salama na akuamshe salama leo asubuhiMke mwema anatoka kwa bwana
asubuhi jua ni Kali kama tupo SaharaBwana akulaze salama na akuamshe salama leo asubuhi