ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Point ya maana umeongeaKabisa mkuu ukiwa nayo unakuwa huru na hata kwenye mada unaongea sana na kuchangia point
Point ya maana umeongeaKabisa mkuu ukiwa nayo unakuwa huru na hata kwenye mada unaongea sana na kuchangia point
Umeongea kitu kimenigusa moyoni mpaka kichwani kwenye chogoPoint ya maana umeongea
chogo ameiachia mzigo mkubwa namba yake kwa washika bunduki.Umeongea kitu kimenigusa moyoni mpaka kichwani kwenye chogo
Washika bunduki mwaka huu wapo fresh sema ndo hivyo tena mwisho wa siku hawana bahatichogo ameiachia mzigo mkubwa namba yake kwa washika bunduki.
hawana bahati kila mwaka kama 2013.Washika bunduki mwaka huu wapo fresh sema ndo hivyo tena mwisho wa siku hawana bahati
2013 nikumbushe si unajua tena uzee, kilitokea nini mkuuhawana bahati kila mwaka kama 2013.
2013 nilikuwa kabintihawana bahati kila mwaka kama 2013.
Bahati ya mwenzio usilalie mlango waziWashika bunduki mwaka huu wapo fresh sema ndo hivyo tena mwisho wa siku hawana bahati
Kabinti kadogo dogo kalikuwa na heshima2013 nilikuwa kabinti
mkuu zilibaki mechi chache wawe mabingwa lakini kilichotokea hawawezi kubeba ubingwa miaka ya karibuni.2013 nikumbushe si unajua tena uzee, kilitokea nini mkuu
Mkuu ndo kusema umezeeka kiasi cha kunisahau2013 nikumbushe si unajua tena uzee, kilitokea nini mkuu
Heshima ni kitu muhimuKabinti kadogo dogo kalikuwa na heshima
kabinti kapole katulivu soon katakuwa mke.2013 nilikuwa kabinti
Karibuni nyumbanimkuu zilibaki mechi chache wawe mabingwa lakini kilichotokea hawawezi kubeba ubingwa miaka ya karibuni.
Mke mwema anatoka kwa bwanakabinti kapole katulivu soon katakuwa mke.
Kabisa haitokaa itokee hiyoKunisahau huwezi kabisa
Muhimu ni kuzingatia maadili yakoHeshima ni kitu muhimu
nyumbani tumekaribia.Karibuni nyumbani