Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Daktari amepata dharuraHospitali tupo muda mrefu na mgonjwa wangu tunamsubiri daktari
Daktari amepata dharuraHospitali tupo muda mrefu na mgonjwa wangu tunamsubiri daktari
tunamsubiri daktari wakati wakenya hawana uhakika na ujio wa daktari.Hospitali tupo muda mrefu na mgonjwa wangu tunamsubiri daktari
Daktari Kenya kuna mgomotunamsubiri daktari wakati wakenya hawana uhakika na ujio wa daktari.
mgomo kama ule wa ulimboka?Daktari Kenya kuna mgomo
Dharura yake anamalizia kazi hospitali kubwa alipoajiriwa halafu ndo anakuja hapa, tuendeleeni kuvumilia sababu anapatikana alhamis na jumanne tuDaktari amepata dharura
Mgomo wa madaktari unasabisha maafa kwa wagonjwaDaktari Kenya kuna mgomo
Kumbuka leo ni jumatatuDharura yake anamalizia kazi hospitali kubwa alipoajiriwa halafu ndo anakuja hapa, tuendeleeni kuvumilia sababu anapatikana alhamis na jumanne tu
Wagonjwa wanateseka sana kwa kukosa hudumaMgomo wa madaktari unasabisha maafa kwa wagonjwa
Jumatatu natambua mkuu nimekupa taarifa ya hospitali moja kubwa tu hapa dar yenye huo utaratibu sababu ikifika jioni unalipia 35,000 kumuona daktari kadi za bima ya afya hazitumiki muda huo.Kumbuka leo ni jumatatu
Ulimboka aliishia wapi tenaamgomo kama ule wa ulimboka?
huduma nzuri ni haki ya kila raia.Wagonjwa wanateseka sana kwa kukosa huduma
Huo utaratibu haufai kabisaJumatatu natambua mkuu nimekupa taarifa ya hospitali moja kubwa tu hapa dar yenye huo utaratibu sababu ikifika jioni unalipia 35,000 kumuona daktari kadi za bima ya afya hazitumiki muda huo.
Raia ni raia hata kama ni wa kuandikishwahuduma nzuri ni haki ya kila raia.
kabisa haufai lakini kama huna kitu hutomwona daktari.Huo utaratibu haufai kabisa
Daktari wa namna hiyo hana utu kabisa na hafaikabisa haufai lakini kama huna kitu hutomwona daktari.
hafai kiubinaadam lakini taratibu za hizo hospital ndizo zisizofaa.Daktari wa namna hiyo hana utu kabisa na hafai
Kila raia ana haki sawa kama mwenzakehuduma nzuri ni haki ya kila raia.
Zisizofaa na yeye hafai maana yumo humo humo kwenye hospitalihafai kiubinaadam lakini taratibu za hizo hospital ndizo zisizofaa.
Daktari na yeye anaumwa ila chakushangaza kaenda kwa mgangakabisa haufai lakini kama huna kitu hutomwona daktari.
Hospitali nyingi sasa hivi zina afadhali ya dawaZisizofaa na yeye hafai maana yumo humo humo kwenye hospitali