Mke wa mtu pia ni sumu kama ya nyoka, kwani wewe ni mke wa mtu upo kwenye ndoa kama mimiHatari pale unapokamatwa na mke wa mtu
Mtu bila mtu huwezi kufanya kituMtu ni adui wa mtu
Mimi nimeishia darsa la saba shule msingi......Mke wa mtu pia ni sumu kama ya nyoka, kwani wewe ni mke wa mtu upo kwenye ndoa kama mimi
mimi sipendi wake za watu wasiojiheshimu.Mke wa mtu pia ni sumu kama ya nyoka, kwani wewe ni mke wa mtu upo kwenye ndoa kama mimi
Msingi usipokuwa imara hata jengo litabomoka baadaeMimi nimeishia darsa la saba shule msingi......
Wasiojiheshimu mbele ya umati wa watu ni wachawi......mimi sipendi wake za watu wasiojiheshimu.
wachawi ni bora kuliko wafitini.Wasiojiheshimu mbele ya umati wa watu ni wachawi......
Wafitini ni adui wa jamii bila kujali jinsia.....wachawi ni bora kuliko wafitini.
Heshimu ndoa ya watu, mke ni mke tu akiwa ameolewa kanisani, bomani, msikitini, serikalini, ndoa ya kimila..bado atabaki kuwa mke wa mtu na atakaemgusa atajutamimi sipendi wake za watu wasiojiheshimu.
Jinsia yake ni ya kike lakini ana mambo ya kiume hadi swaggaWafitini ni adui wa jamii bila kujali jinsia.....
atajuta mara ngapi ikiwa uzinzi imekuwa sifa.Heshimu ndoa ya watu, mke ni mke tu akiwa ameolewa kanisani, bomani, msikitini, serikalini, ndoa ya kimila..bado atabaki kuwa mke wa mtu na atakaemgusa atajuta
Atajuta majuto ya mjukuu yeyote atakae fanya hiyana.....Heshimu ndoa ya watu, mke ni mke tu akiwa ameolewa kanisani, bomani, msikitini, serikalini, ndoa ya kimila..bado atabaki kuwa mke wa mtu na atakaemgusa atajuta
hiyana kitu kibaya sana.Atajuta majuto ya mjukuu yeyote atakae fanya hiyana.....
Sifa zikizidi zinakuwa keroatajuta mara ngapi ikiwa uzinzi imekuwa sifa.
swagga ataziacha mwenyewe kadri kitu cha jpm kinavyotight.Jinsia yake ni ya kike lakini ana mambo ya kiume hadi swagga
Kero la wareno ndilio lilowaacha waSwahili kuwa kumbatia waarabuhuko kilwa na mafia..!!!!😀😛Sifa zikizidi zinakuwa kero
kero yangu ni dawasco.Sifa zikizidi zinakuwa kero
kilwa na mafia miji ya kale isiyo na maendeleo.Kero la wareno ndilio lilowaacha waSwahili kuwa kumbatia waarabuhuko kilwa na mafia..!!!!😀😛
Mafia sijawahi kufikaKero la wareno ndilio lilowaacha waSwahili kuwa kumbatia waarabuhuko kilwa na mafia..!!!!😀😛