Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Zote zinaweza kukuhabarisha inategemea jinsi unavyotumiaJamii forum nimtandao ambao kwa asilimia 100 unanihabarisha na kuniburudisha kuliko media zingine zote
Zote zinaweza kukuhabarisha inategemea jinsi unavyotumiaJamii forum nimtandao ambao kwa asilimia 100 unanihabarisha na kuniburudisha kuliko media zingine zote
Maana hiyo avatar yako huwa inanitisha jamaniJamii ambayo haina vipaumbe hamna maana...
Jamani umri huo unaogopa sura ya mwanaume....?Maana hiyo avatar yako huwa inanitisha jamani
Mwanaume halisi anatumia dume, unalikumbuka hilo tangazoJamani umri huo unaogopa sura ya mwanaume....?
Tangazo tangazo kesho ni siku ya usafiMwanaume halisi anatumia dume, unalikumbuka hilo tangazo
Jmn mko poa?Maana hiyo avatar yako huwa inanitisha jamani
Siku ya usafi ni jumamosi ya mwisho wa mwezi maduka yanafunguliwa saa 4 asubuhi, cha ajabu siku hizi ukienda kariakoo ni jumamosi zote tu na faini ni 50,000 kwa kuvunja sheriaTangazo tangazo kesho ni siku ya usafi
Popote pale ulipo nasi tupoSheria ni msumeno hukata popote
Tupo tumejaa Tele kama pishi la mchelePopote pale ulipo nasi tupo
Mchele umeuchambua vipi leo mbona wali una mawe, tunashindwa kuendelea kula tusije kuvunjika menoTupo tumejaa Tele kama pishi la mchele
Meno yako leo vp mbona kama Yana ukunguMchele umeuchambua vipi leo mbona wali una mawe, tunashindwa kuendelea kula tusije kuvunjika meno
Kwetu mbaliUkungu umetanda hukj kwetu
Kwetu muda wote mateja wanatinga, viwalo vyetu ukianika ukumbuke kuvilindaUkungu umetanda hukj kwetu
Kuvilinda hiyo ni kazi ya mlinziKwetu muda wote mateja wanatinga, viwalo vyetu ukianika ukumbuke kuvilinda
Mlinzi wa zamu ya leo hajakuja kazini, niliskia jana usiku alipokuwa lindo aliumwa na nyokaKuvilinda hiyo ni kazi ya mlinzi
Nyoka mwenye sumu hupatikana jangwani hata msituni wamejaa....Mlinzi wa zamu ya leo hajakuja kazini, niliskia jana usiku alipokuwa lindo aliumwa na nyoka
Wamejaa aina nyingi, ila yule nyoka anaeruka kifutu au yule nyoka koboko mwenye uwezo wa kukukimbiza akiwa na hasira ni hatariNyoka mwenye sumu hupatikana jangwani hata msituni wamejaa....
Hatari pale unapokamatwa na mke wa mtuWamejaa aina nyingi, ila yule nyoka anaeruka kifutu au yule nyoka koboko mwenye uwezo wa kukukimbiza akiwa na hasira ni hatari