wapendwa wamelala.Kuntu sijaelewa mm usiku mwema wapendwa
Kula ilikuwa jana,watu wameamkia kwenye ibada. Happy MaulidWamelala bila kula?
maulid si siku adhimu kuadhimisha mazazi ya mtume muhammad (s.a.w).Kula ilikuwa jana,watu wameamkia kwenye ibada. Happy Maulid
sheikh Ponda kaenda kumtembelea Lema GerezaniMaulidi inaendana na maakuli sheikh
sheikh Ponda kaenda kumtembelea Lema Gerezani
lelemama ni kiswahili Fasihi???Gerezani sio sehemu pa lelemama
Fasihi ya neno kuntu ni "hakika ya ukweli" ndg. ukhuty sasa umeelewa....?lelemama ni kiswahili Fasihi???
Neno lako litapewa heshima....Fasihi imo ndani ya Hilo neno
Mrembo habari ya asubuhi...?Umeelewa lakinii mrembooo
Asubuhi yangu iko salama handsome, vipi habariMrembo habari ya asubuhi...?
Asubuhi yangu iko salama handsome, vipi habari
Kazi lazima tufanye kwa maendeleo yetu na ya jamiiHabari za hivi punde nikwamba kesho nisiku ya kazi
Jamii ambayo haina vipaumbe hamna maana...Kazi lazima tufanye kwa maendeleo yetu na ya jamii