Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Bado wote ni viumbe wa munguMtoto wa kiume sio mwanaume bado
Bado wote ni viumbe wa munguMtoto wa kiume sio mwanaume bado
Afya bora kwa mazoezi, vyakula vizuri na matunda. Usipojipenda hakuna atakae kupendaKahawa sio nzuri kwa afya
Maji yakunywa lazima yachemshweKumwaga maji barabarani uswahilini kwetu ni jambo la kawaida sababu mitaro imeziba haipitishi maji
Ilimwagika ss si kaharufu ka mkojo katakuumbuaItakuwaje tena zaidi ya kuuchuna na kuchukua maji unamwaga unajifanya ni chupa ya maji ilimwagika
Bana bana hii mpaka pesa imepotea watu wanaitafuta na tochiKona kila mahali banaa
Superman awafanyeje wakati washakojoaItakuwaje? Wakojoe waone kama cjawaitia superman
Tochi inamuulika hadi magari yanayokimbia sanaBana bana hii mpaka pesa imepotea watu wanaitafuta na tochi
Dhambi sababu ukimzomea atakisikia huzuni na kukata tamaa maskini, tumpe sapotKumzomea mwenzako ni dhambi
Ilimwagikaje kwenye kitanda cha chini, maji gani yana harufuItakuwaje tena zaidi ya kuuchuna na kuchukua maji unamwaga unajifanya ni chupa ya maji ilimwagika
Homonize anamzimikia WolperBado ni wimbo aloimba homonize
Mungu mkubwaBado wote ni viumbe wa mungu
Harufu ya u ubuyu wa clouds na soudy unanukiaIlimwagikaje kwenye kitanda cha chini, maji gani yana harufu

Kupenda ni kipajiAfya bora kwa mazoezi, vyakula vizuri na matunda. Usipojipenda hakuna atakae kupenda
Harufu mbaya inakeraIlimwagikaje kwenye kitanda cha chini, maji gani yana harufu
Harufu ikizidi unajifanya na wewe unaitafuta ilipotokea ni wapi hujuiIlimwagikaje kwenye kitanda cha chini, maji gani yana harufu
Sapot anapewa ila anahisi anaonewaDhambi sababu ukimzomea atakisikia huzuni na kukata tamaa maskini, tumpe sapot