Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Baadae yakipoa waweza kuyanywaSawa na maji ya moto kwenye sufuria yanapoa baadae
Baadae yakipoa waweza kuyanywaSawa na maji ya moto kwenye sufuria yanapoa baadae
Ujenzi wa shule ya kata na wazazi walitoa michango yao
Siku si nyingi tutatumia muda mchache kama nunusu saa tu mpaka mbagalaUjenzi huo utakamilika siku si nyingi
Mbagala kuna idadi kubwa mno ya watuSiku si nyingi tutatumia muda mchache kama nunusu saa tu mpaka mbagala
Unatumbuliwa jipu hata ukichangisha hela za remedial classes na pesa ya ulinziMichango yao? Cku iz hamna michango mashuleni na ukikamatwa unatumbuliwa
Shida sababu ya miundombinuMbagala usafiri wake ni shida
Watu wamejenga nje ya mji, japo mbagala ya sasa sio mbagala ya zamaniMbagala kuna idadi kubwa mno ya watu
Zaidi wananchi walipe kodi kwa ajili ya maendeleoKukamilika kwake kunahitaji pesa Zaidi
Shida hazitaisha kama tunakwepa kodiMbagala usafiri wake ni shida
Zamani maisha yalikuwa mazuriWatu wamejenga nje ya mji, japo mbagala ya sasa sio mbagala ya zamani
Kubaya tena jamaniZamani kulikuwa kubaya
Maendeleo yako ni wewe mwenyewe kama kioo yani ukinuna na taswira kwenye kioo kinanuna na pia labda ukichekaZaidi wananchi walipe kodi kwa ajili ya maendeleo