Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tena sufi zinafanana na pamba mti wa kwake ni mkubwa mfano wa mwembe, zile nyuzi(sufi) zinajazwa kwenye mto wa kulalia, godoro au kochi..unawaona kwenye muvi/nyimbo za video wapenzi wakipigana mito kitandani zinaruka mto ukichanika
Ukichanika zinatoka zenye rangi nyeupe, unajua kufafanua vyema we ni mwalimu??
 
Back
Top Bottom