supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Advance nilichapwa siku moja siisahau mbele ya vitoto vya form one vinavyoniamkia shkamo kakaFimbo tumechapwa sana adavance
Advance nilichapwa siku moja siisahau mbele ya vitoto vya form one vinavyoniamkia shkamo kakaFimbo tumechapwa sana adavance
Mademu unawaogopa super marketMimi nilikuwa najiheshimu sana nilikuwa najiskia noma sana kuchapwa mbele ya mademu![]()
Kaka dahAdvance nilichapwa siku moja siisahau mbele ya vitoto vya form one vinavyoniamkia shkamo kaka

Shogaa usiniandike kwenye daftar la chapismAdavance umekosea maandishi shoga
Supermarket kipindi hicho nina gf wawili halafu nimesoma shule ina warembo, sasa kuadhibiwa mbele yake ni aibuMademu unawaogopa super market
Chapism ni mfumo wa kuchapia, mfano unasema madogoro baada ya magodoroShogaa usiniandike kwenye daftar la chapism
Magodoro ya super Banco ni mazurChapism ni mfumo wa kuchapia, mfano unasema madogoro baada ya magodoro
Dah umenikumbusha mbali kitambo sana kipindi hiko niliishi safi sana na wanafunzi wenzangu, kiasi kila ninae kutana nae anatamani zirudi enziKaka dah![]()
![]()
![]()
Mazuri sana unaweza kulala ukapitiliza muda wa kuamkaMagodoro ya super Banco ni mazur
Aibu yetu sote, hata wewe ni kipindi kizuri cha ITV cha usalama barabaraniAibu yao aibu yetu
Enzi ulikuwaje kwani tofauti na saivDah umenikumbusha mbali kitambo sana kipindi hiko niliishi safi sana na wanafunzi wenzangu, kiasi kila ninae kutana nae anatamani zirudi enzi
Boy la kushikia sufuria wakati unasonga ugali au
Watoto wakivuka barabara wanatakiwa kuangalia kushoto, halafu kulia, halafu waangalie kushoto tenaBarabarani ni hatari kwa watoto
Enzi ulikuwaje kwani tofauti na saiv
Barabarani ni sehem ya kuvuka kwa umakiniAibu yetu sote, hata wewe ni kipindi kizuri cha ITV cha usalama barabarani