Hii post imepotea njia[emoji15] [emoji15] huku ama[emoji15]Mtanzania ndiye binadamu mnafiki kuliko binadamu wote duniani .......unajua kwann mwaka jana siku kama ya leo sherehe za uhuru zilifutwa si tukaambiwa tusherekee kwa kufanya usafi nchi nzima na mapesa ambayo yangetumika kwenye sherehe hizo yajenge barabara watanzania wakashangilia kweli.....leo tena sherehe Zipo hazijafutwa ili kubana matumizi mtanzania huyu amefurahi na kushangilia .......nilidhani leo zinafutwa then pesa ipelekwe kwa waathirika wa tetemeko kule KAGERA...mwaka jana walishangilia mwaka wameshangilia hawaeleweki wapo upande gani..........MTANZANIA NDIYE BINADAMU MNAFIKI KULIKO BINADAMU WOTE DUNIA siku tukiacha unafiki Tanzania itakombolewa Goliath Mwacharandula Mfalamagoha
Chunusi usoni kwasababu ya mawazo dah [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mawazo yakizidi unaweza kuumwa, kupata kitambi na pia kutoka chunusi usoni
Tembele likichemshwa huongeza damuMchicha mtamu kama mnavu, mchunga, kisamvu na tembele
Inavyosemekana eti zari kajifunguaNyama ya kuku ndio nyama tamu kuliko zote duniani inavyosemekana
Usoni chunusi huondolewa na niniMawazo yakizidi unaweza kuumwa, kupata kitambi na pia kutoka chunusi usoni
Dah mwanangu kweli sababu kichwa kinapata moto kama wale wanafunzi wanaojisomea usiku kucha hawapumzikiChunusi usoni kwasababu ya mawazo dah [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Inavyosemekana nyama tamu ni ya sunguraNyama ya kuku ndio nyama tamu kuliko zote duniani inavyosemekana
Ama amefanya makusudiHii post imepotea njia[emoji15] [emoji15] huku ama[emoji15]
Dah, na mie nimeshtukaChunusi usoni kwasababu ya mawazo dah [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nn? Kwanza uache kupaka loshen zenye mafuta mengi, osha uso na sabuni ya lemon paka dry lotion ztaishaUsoni chunusi huondolewa na nini
Hawapumziki sababu wanataka wafikie malengoDah mwanangu kweli sababu kichwa kinapata moto kama wale wanafunzi wanaojisomea usiku kucha hawapumziki
Zitaisha wakati nina mawazoNn? Kwanza uache kupaka loshen zenye mafuta mengi, osha uso na sabuni ya lemon paka dry lotion ztaisha
Nini zaidi usiumize sana kichwa mpaka kikapata moto, pia usiruhusu kujipaka mafuta, au ondoa tu mafuta kwa medicated soap mfano protex na nyengine nyingiUsoni chunusi huondolewa na nini
Mawazo walishakuwaga nayo kina nyerere na ss wamerest in pis, so don't worry enjoy kuwa na amaniZitaisha wakati nina mawazo
Mawazo[emoji450] [emoji441]Zitaisha wakati nina mawazo
Nyingi tena, mie natua detol tuNini zaidi usiumize sana kichwa mpaka kikapata moto, pia usiruhusu kujipaka mafuta, au ondoa tu mafuta kwa medicated soap mfano protex na nyengine nyingi
Amani ninayo teleMawazo walishakuwaga nayo kina nyerere na ss wamerest in pis, so don't worry enjoy kuwa na amani
Deto tu paka na mchicha[emoji3]Nyingi tena, mie natua detol tu
Aman bongo hahaahaha nyaku nyakuMawazo walishakuwaga nayo kina nyerere na ss wamerest in pis, so don't worry enjoy kuwa na amani
Hii nyimbo ya Jide ilitesa sana miaka ya hiyoMawazo[emoji450] [emoji441]
Kila mtu anayo mawazo, tukilala tukiamka tuna mawazo, tukitembea na tukikaa tuna mawazo. Nani anaikumbuka hii nyimbo