supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,941
Feki hapana kwa kweli, haya zamu sasa na wewe unapenda aina gani ya simuSamsung nyingi ni feki
Feki hapana kwa kweli, haya zamu sasa na wewe unapenda aina gani ya simuSamsung nyingi ni feki
Simu ya sony Xperia although cjawahi ishikaFeki hapana kwa kweli, haya zamu sasa na wewe unapenda aina gani ya simu
Ishika ni jina la mschana wa kihindiSimu ya sony Xperia although cjawahi ishika
Kihindi kile cha kuch kuch hotahe?Ishika ni jina la mschana wa kihindi
Hotahe nyimbo ya zamani naangalia kwenye mabanda ya videoKihindi kile cha kuch kuch hotahe?
Mabanda ya video ivi yako kweli ciku izi?Hotahe nyimbo ya zamani naangalia kwenye mabanda ya video
Siku hizi yapo bado, huwa tunaangalia sana football siku za mechi za uingereza, UEFA na simba na yangaMabanda ya video ivi yako kweli ciku izi?
Yanga Kuna wachezaji wenye vipaji wengi sana kama vile..Siku hizi yapo bado, huwa tunaangalia sana football siku za mechi za uingereza, UEFA na simba na yanga
Quran sura gn hasaVile vile napendelea kusoma Qur'an
Hasa hasa msisahau kesho ni skukuuQuran sura gn hasa
Skukuu ya christmass ipo karibuHasa hasa msisahau kesho ni skukuu
Karibu sana ule skukuuSkukuu ya christmass ipo karibu
Skukuu wapi nije mkuuKaribu sana ule skukuu
Mkuu karibu sana nyumbanSkukuu wapi nije mkuu
Nyumbani kwenu nitakuja saa 7 mchana muda wa msosiMkuu karibu sana nyumban
Msosi utakuwa wa kumwaga waeza kuja na marafiki zako piaNyumbani kwenu nitakuja saa 7 mchana muda wa msosi
Pia naweza kuja na mfuko?Msosi utakuwa wa kumwaga waeza kuja na marafiki zako pia
Mfuko? Tumbo lako ndo Mfuko sku iyoPia naweza kuja na mfuko?