Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mteja ss inabidi tumpe taarifa mapema au sio
sio lazima kumpa taarifa kwa barua hata kwa simu yafaa
Mteja ss inabidi tumpe taarifa mapema au sio
Kauli nzuri itakusaidia maishanimteja mmoja anaweza kufanya shopping kubwa kama ukiwa na kauli nzuri
Kauli nzuri itakusaidia maishani
Bado kias ganmaishani unaweza kufikiri umefika kumbe safari bado
Kias gani kumaliza mwendoBado kias gan
Mwendo mmeniachia pekee yanguKias gani kumaliza mwendo
Pekee yangu nalisongeshaMwendo mmeniachia pekee yangu
Nalisongesha taratibuPekee yangu nalisongesha
Taratibu ndio mwendo mzuriNalisongesha taratibu
Mzuri sana yule mkakaTaratibu ndio mwendo mzuri
Mkaka wa miraba minneMzuri sana yule mkaka
Miraba minne ni pande la mtuMkaka wa miraba minne
Mtu yule ni mashuhuri sanaMiraba minne ni pande la mtu
Mtu unajiongelesha mwenyewe halafu unajijibu mwenyeweMiraba minne ni pande la mtu
Sana sana leo mm ndio mshindiMtu yule ni mashuhuri sana
Mshindi nipewe zawadiSana sana leo mm ndio mshindi
Kias gani kumaliza mwendo
Mshindi nipewe zawadi
Mtu unajiongelesha mwenyewe halafu unajijibu mwenyewe
Pili+pili=pilipiliZawadi nilishapewa hii ni sehemu ya pili