Zaidi yako sijaona mchangiaji mwengine ktk uzi huu unaogombaniwa ushindi...Zaidi na zaidi
Mimi nitasaafu nikuwachie unyakuwe ubingwaUshindi nitachukua mimi
Ubingwa hapati mtuMimi nitasaafu nikuwachie unyakuwe ubingwa
Bingwa wangu ni SupaMaket na msaidizi wake ukhuty Mrembo wa milele.....Mtu Kama nitakuwa bingwa
Bakia stendi mimi naenda dukaniMilele na Milele hakuna kitakachobakia
Nini kimekusibu mpk hutaki kununua unga wa donaDukani kununua nini
Dona nzuri ni ya kutengeneza wewe mwenyewwNini kimekusibu mpk hutaki kununua unga wa dona
Wewe mwenyewe sijawai kukuona ukitengenezaDona nzuri ni ya kutengeneza wewe mwenyeww
Ulimenye halafu ulitupeRaha ya chungwa ulimenye
Ulitupe vipi wakati linatakiwa kuliwa kwanzaUlimenye halafu ulitupe