Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Hatupendi kufedheheshana kadamunasi hilo litambuliwe.....Ujinga sote hatupendi
Hatupendi kufedheheshana kadamunasi hilo litambuliwe.....Ujinga sote hatupendi
Litambuliwe na lifanyiwe kaziHatupendi kufedheheshana kadamunasi hilo litambuliwe.....
Kazi ya kisheria ni ufafanuzi wa falsafa ya haki....Litambuliwe na lifanyiwe kazi
Hazizingatiwi kwa sababu ya ubabe na utawala wa kimabavu na kbambikiziana kesi....Haki za binadamu hazizingatiwi
Kesi nyingi watu hujitakiaHazizingatiwi kwa sababu ya ubabe na utawala wa kimabavu na kbambikiziana kesi....
Miyeyusho yule bondia?Kesi zenyew siku hiz miyeyusho
Miyeyusho kwa hili joto linalokausha ubongoKesi zenyew siku hiz miyeyusho
Ubongo wako labda ndo utakauka, mi wangu upo fitMiyeyusho kwa hili joto linalokausha ubongo
Inaendeleaje baada ya hukumuKesi ya lema inaendeleaje?
Fit kufanya sana mazoeziUbongo wako labda ndo utakauka, mi wangu upo fit
Viungo viwe mbalimbali visigusane....Mazoezi ya viungo
Upo fit kakae juani utakuwa fit zaidiUbongo wako labda ndo utakauka, mi wangu upo fit
Zaidi ya mtu wake mithili yake hapanaZaidi na zaidi