Wa mwisho ndiyo mshindi

Mtoto aharibikiwe na mienendo yake, hakuna mzazi anaependa lakini wazazi msiwe bize mkamuacha mtoto na kwenda kutafuta pesa
Kutafuta pesa kupo na malezi ya mtoto yapo pale pale, Sema kila kitu kinafanyika kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…