Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Aiseee kinacho kushangaza ni mwanamke kukataa pesa?
Mbona hujajishangaa kukubali pesa na zawadi?
 
hongeraa kwa kuopoa lakionea ila siku nyingine uwe unakumbuka kinga ucje peleka ukumwi nyumbanii!sawa eh mkuu?
 
kunawatu wanataman hapa ingewatokea wao kumbe mwenzao Tutor B katoka ndotoni. Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Una vituko wewe? Mbona unam nyasa nyasa ndugu yangu ivo??

Vita yetu ni PM. Mi namtongoza kule Ennie ananibania tu. sasa mie nifanyeje wkt mama yangu ni mwanamke kama yeye.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom