KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
kwa umri wako inafaa uote ndoto za aina hiyo...ila nakushauri fanya mazoezi ya viungo.....
Loooooooh
kwa umri wako inafaa uote ndoto za aina hiyo...ila nakushauri fanya mazoezi ya viungo.....
nitake radhi; over 40 years sio kijana mimi.
Cha ajabu ni nini hapo?
utaolewa!!!! Shauri yako na hadithi zako. Haya hongera Mpwa usijesema Nina wivu....
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaa_sio mwanamke tu,..hata wewe kama ungekuwa mwanaume wa kweli ungekataa hizo laki pamoja na kukubali kushare kulipa bill,.....hizo ni mila za wazungu za kushare majukumu na wanawake.
Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.
It was Suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.
Bajameni ... mliwahi ona?
Umbuje cha ajabu ni....kuhongwa chain na laki moja na mwanamama
Hivi baby unajua nakutafuta?
Hivi baby unajua nakutafuta?
Hongea umbuje.....
Hilo ndio haswaa la ajabu labda
Lakini wapo[/QUOT
Wapo kweli ila wengine ni wanatega kujenga kisaikolojia hata kama siku akikupiga mzinga mkubwa usijisikie vibaya kutoa na kumwona yupo kwako after money hivyo anajitoa mhanga kwa kutumia za kwake wakati mwingine hata kama una kiwanja anakuongezea na mifuko ya cement ila siku akijakukuungurumisha mzinga unarudisha zile alizokupa though kuna ambao wanatoa kwa moyo mmoja bila kujali kwamba utakuja kurudisha kwa mtindo mwingine
Wamama tunakazi ujue...
When we give for love taabu, when take for love problem too.
By the way unaendeleajee?
Nilikuwa huku naangalia mwanaume anafurahia kuhongwa...baby nikikataa hela zako afu nikakupa fuba nawewe utashangilia eeh??