Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Ya PM ni siri ujue
Oh nlishasahau. tatizo unanitesa sana bhana.
Ya PM ni siri ujue
Ya PM ni siri ujue
Kumbeeeeeeee
Unafanya nini huku jukwaa la wakubwa?
Yamemfikia brother kama yalivyo!!!!!!!!!!!
Namtafuta Mpenzi wangu......siku hizi hasomeki kabisaaaaaaaa
Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.
It was Suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.
Bajameni ... mliwahi ona?
Sikuweziiii
Vruuuuummmmmm!!!!!!
Umejaribu jukwaa la elimu?
We nakuja kukutia bakora leoleo. Andaa makalio yako vizuri.
Mi na wewe wifi!
Usinifanyie hivyo bwana,kwanza Asprin namchuna tu
Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.
It was Suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.
Bajameni ... mliwahi ona?
nahitaji kuchapwa na ile bakora nyingine ilee
Unikumbuke kwenye huo ufalme wa uchunaji tu
hahahaaaa sikuwezi LOL
ukiacha janjajanja utaniweza tu. mbona mie mwepesi sana?