Amelipia laana na mikosi aliyokuachia. Subiri mambo yako yatakavyokuwa yanaenda sasa.
Huna haja ya kuweka vihunzi, ntaviweka mwenyewe.
BTW lile limbwata nlokuletea uniwekee limeshaisha? Nahisi kama nauli ya kwenda gulioni Katerero inakuwa ngumu kuipata.
Shkamoooo
How much?
Wenzako wanaweka kwenye mfuko wa koti unnoticed lol
Af G bhana... khaa!!
Mwambie kabisa wengine huwa wanatoa hela ya mchango wa sanda na jeneza kiaina. Hawasubiri mpaka ufe.
Nataka kuzituma na BURDAN umbuje zitangulie ili shikamoo iitikiwe
Nimecheka sana mkuu; niolewe wakati nilishaoa long time?
Thats my girlie. Marhabaa kwa herufi kubwa na ndogo. Jiandae nakupitia tukale sato wa kuchoma.... Utakunywa nini?
Thats non of your business. Ni jukumu langu kuzitafuta mpaka nizipate. Usisahau am your man. Not a boy.
Nataka kuzituma na BURDAN umbuje zitangulie ili shikamoo iitikiwe
Pitia store ya vinywaji nunua zanzi bottle then uje twenzetu
Nakaribia Ubungo.Umefika wapi?
Zimefungiwa umbuje, labda RATCO wahi segera
Nakaribia Ubungo.
Well, sina sababu ya kupitia store, ile ya siku ile hukuimaliza. Ipo stock ya kutosha. Ila leo uniruhusu na mimi nigonge grants. Kama kuchoka acha tuchoke wote safarini. Wasemaje?