Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

ila on a vere serious note! Tutor B
hizi encounters za wanawake huwa ni kwlei au fantansies tu?
kama ni kweli we ni noma!
 
Last edited by a moderator:
R.I.P mkuu maana ushakufa tayari kama dume haikuhusika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wengi tu...ila kuna wale "The lost generation" wao motto wao ni "Love is overrated" but to be a gold digger is perfect.

Lakini wapo

 
Last edited by a moderator:
kaka tulizana na wife wako acha mapepe leo umemgegedea mkeo nje na umejiweka hadharani unajitangaza kesho nawe ukapata japo hisia tu kwamba kuna kijogoo kina mme...ndea shem ni kiasi gani moyo utakulipuka? haipendezi tunza familia hiyo ni dhamana uliyoipokea kwa ridhaa yako mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom