Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Tangu ugome kukutana na mimi PM, shkamoo zako nimezibloku. Adhawaiz unitupiemo ka chain ka dhahabu nami niuze sura mjini.

Mzima lakini mpenzi wangu wa baadae?
 
Tangu ugome kukutana na mimi PM, shkamoo zako nimezibloku. Adhawaiz unitupiemo ka chain ka dhahabu nami niuze sura mjini.

Mzima lakini mpenzi wangu wa baadae?

Huyo ndo babu Asprin.......!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tangu ugome kukutana na mimi PM, shkamoo zako nimezibloku. Adhawaiz unitupiemo ka chain ka dhahabu nami niuze sura mjini.

Mzima lakini mpenzi wangu wa baadae?
Chain iko on the way,gram ngapi vilee?
Unataka na kiasi gani kitangulie kwenye wallet?
 
Chain iko on the way,gram ngapi vilee?
Unataka na kiasi gani kitangulie kwenye wallet?

That depends on you luv. Ukubwa wa gramu na unene wa wallet unaenda sambamba na uitikiaji wa haraka wa shikamoo yako. Usisahau mpaka sasa sijakuitika shkamoo yako ya kisanii.
 
Jini huyo si bure haaahaha...au anabembeleza ndoa kolea uone utamu wake oooooonhhh......anatimiza majukumu ambayo sio yake ni jukumu la mwanaume hilo so mtabadilishana majukumu oooonh
 
Kwanza umemsaliti mkeo . Sasa nenda kacheki afya ya kiroho na kimwili lkn kama roho yako imezoea kujeruhiwa namna hii basi itakua vigumu kuona maradhi yaliyouzunguka moyo wako.
 
Ha ha haha kuweka vihunzi ili kujiridhisha muhimu.

Huna haja ya kuweka vihunzi, ntaviweka mwenyewe.

BTW lile limbwata nlokuletea uniwekee limeshaisha? Nahisi kama nauli ya kwenda gulioni Katerero inakuwa ngumu kuipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom