Vyombo vya Dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zoa havitaweza vikiwa vimekatwa makali au kufungwa kwamba

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,.

Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na kuwalinda waovu.

Ni hayo tu

Wadiz
 
_20240223_142643.JPG
 
Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia moaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,.

Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na kuwalinda waovu.

Ni hayo tu

Wadiz
Symbiosis
 
Amani na Utulivu uliopo nchini ni kwasabab ya kazi nzuri sana ya weledi na umahiri wa vyombo vya ulinzi na usalama ...

kuna weza kua na changamoto mahali, but ukiwa specific itasaidia zaidi but tupo pazuri 🐒
 
Mods please pale badilisheni isomeke kamba badala ya kwamba 🙏🙏🙏
 
Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,.

Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na kuwalinda waovu.

Ni hayo tu

Wadiz

FW9WY_7WAAAAxoa.jpeg
 
Back
Top Bottom