Uchaguzi 2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

Lissu akifanyiwa figisu October 28. Tutaumia wote, sio CHADEMA wala CCM. Sote tutaumia. Na CCM wataumia zaidi maana pesa walizoficha nje zitapigwa lock. Misaada tutanyimwa na tutashinda njaa sote. Magufuli hafai ndugu zangu!
 
Mi nachoshauri,wagombea wasiotaka kufuata ratiba,wapigwe mabomu ya machozi tu,ili iwe fundisho ,tushachoka kuvumilia
 
Hiyo ingekuwa na maana kama Saudia wangetoa tamko hilo sio USA ambako violence, gunning of black people na kila ukiukwaji wa haki za binadamu unaendelea.
Kama USA ni model kwetu, kama ilivyo serkali ya Trump ya racism kuna watu tutakula nao perpendicular
 
Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
Vipi Magufuli asiyefuata kampeni Ratiba za kampeni ?
 
"Nina wasiwasi na ripoti ninazosikia juu ya vurugu za kisiasa na kuongezeka kwa jumla kwa mivutano tunapokaribia uchaguzi wa Tanzania. Ninahimiza vyama vyote kujitolea kwa uchaguzi huru, wa haki, na wa amani. Kama usemi unavyosema: Amani ni tunda la haki."
Ambassador Donald J. Wright
Hapo sio vyama "parties" ana maana 'wahusika wote'
 
Hii chadema hawawezi kuipenda kabisa maana wameanza kugeukwa!
 
"Nina wasiwasi na ripoti ninazosikia juu ya vurugu za kisiasa na kuongezeka kwa jumla kwa mivutano tunapokaribia uchaguzi wa Tanzania. Ninahimiza vyama vyote kujitolea kwa uchaguzi huru, wa haki, na wa amani. Kama usemi unavyosema: Amani ni tunda la haki."
Ambassador Donald J. Wright
Kasema magufuli ni shujaa wa Afrika
 
chadema kwa sasa wako makini na kila aina ya faraja masikini.

ni kawaida yao kuandika hivi hawa jamaa.
 
Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
Hukumu ya mahakama tayari? Utopolo mwingine toka buku saba Lumumba
 
Back
Top Bottom