ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
coastala wamefanya shambulizi la hatari langoni mwa yanga, awachezaji wao wawili wapo chini..
Ningefahamu lilipo kaburi la aliyekuroga ningeenda kulitandika bakora!
Maana huwezi kutumikia mabwana 3.
1.Simba
2.Azam
3.Mbeya City
Inahitaji kuwa na akili kama ya dr Slaa ili uweze kumudu!
Mkuu, kunaubaya gani ukiwaita mabingwa wapya?
DK 80, coastal 0-Yanga 0.
Azam 1 Rhino 0 FTNipo Tanga nitawaletea moja kwa moja kinachojiri kutoka uwanja maarufu wa Mkwakwani
wadau wengine kama @mandieta, watu8, Makoye Matale kbm na wengineo tujumuike hapa
..imekuwa kona tasa, canavaro kazi anayo, coastal wameamka sasa!!
Lile Dua la yule mdau mmoja hapo juu linakaribia kutimia.DK 80, coastal 0-Yanga 0.
Nani katupia?Goaallllll
Unaota nini?Goaallllll
Yupi huyo na dua gani?Lile Dua la yule mdau mmoja hapo juu linakaribia kutimia.
Goaallllll
Mbeya city 1 - Ruvu shooting 1Azam 1 Rhino 0 FT
Coastal 0 Yanga 0
.....unaweza ukashangaa Singano, Tambwe na Donoti Msoti wanashushwa Timu B alafu jamaa wakaanza kujipigia tu.Nafasi ya Simba kusogea nafasi ya tatu labda nao wafanye ujinga na kocha wao.